TUWASA: SACCOS YA WAFANYAKAZI INAYOFURAHIA MFUMO WA WAKANDI CAMS
"Sasa tunatunza kumbukumbu kiufanisi na tuna uwazi kwenye SACCOs yetu"
Tunakupa ufanisi wa kipekee katika ulimwengu wa digitali. Tukiwa wa zaidi ya miaka kumi ya ujuzi wa kutengeneza tovuti na programu zenye ubora, tunakusaidia kukua na kufanikiwa!
"Sasa tunatunza kumbukumbu kiufanisi na tuna uwazi kwenye SACCOs yetu"
Jaribu Wakandi CAMS kurahisha mchakato wa KYC.
Linapokuja suala la mchakato wa mikopo katika SACCOs, Wakandi CAMS ni mfumo unaorahisisha mchakato kwa pande zote mbili yaani mwanachama wa SACCOs kuomba mkopo na maafisa wa SACCOs kuchakata maombi...
Baada ya kukosa msaada kwa miaka 10, Wakandi yawapa tumaini jipya “Mfumo wa Wakandi (CAMS) umeleta matokeo mazuri, umegusa mpaka wanachama wote.” Kihistoria, SACCOs zimekuwa zikitumiwa na wanajamii...
Wakandi’s Credit Association Management System (CAMS) unatoa mfumo kamili wa kihasibu pamoja na Microfinance. Kama kifaa cha kihasibu, inapunguzia saccos nguvu ya kusimamia kazi nyingi za karatasi,...
CAMS, ni kampuni ya kiteknolojia ya fedha inayosaidia kusuluhisha haja za SACCOs kwa teknolojia ya kidigitali. SACCOs na wanachama wake wanaweza kutuma na kupokea fedha pamoja na kutoa na kuweka...
Hapa Wakandi, tunaelewa jinsi gani shughuli za kihasibu ni muhimu kwa SACCOs kwenye kunakili mapato na matumizi vilevile kuhakikisha ufwaatishaji wa kisheria. Hii ndiyo sababu tunawezesha SACCOs...
SACCOs imekua ni ishara ya uaminifu na kujiamini ikija kwenye shughuli za kifedha kwa mamilioni ya watu nchini Afrika. Kama watoa huduma wa mifumo, tunajaribu kutoa thamani ya juu na matumani kwa...
Wakandi Tanzania inayo furaha kutangaza CAMS ya ‘Tier II’ kwa taasisi ndogo za fedha hivi karibuni itakuwa mubashara. Wakandi CAMS imesheheni vipengele vya kusaidia MFIs kudumisha shughuli za kila...
Moja kati ya malengo yetu makubwa kwenye CAMS ni kuhakikisha kunakua na uwazi kwenye masuala ya malipo. Ili kufanikisha hili, tunaendelea kuboresha mfumo wetu wa kihasibu kwenye upande wa watendaji...
Tunahamasa kubwa kukushirikisha habari njema. Tunafanyia kazi kipande cha Uhasibu kwenye CAMS – kipengele cha upande wa watendaji ili kuwezesha kutengeneza ripoti za kihasibu na kifedha. Itakua ni...