Skip to content
feature-image

Hapa Wakandi, tunaelewa jinsi gani shughuli za kihasibu ni muhimu kwa SACCOs kwenye kunakili mapato na matumizi vilevile kuhakikisha ufwaatishaji wa kisheria. Hii ndiyo sababu tunawezesha SACCOs kwenda kidigitali ili kufanikisha shughuli za kihasibu kuwa rahisi na haraka kwa kutumia CAMS. Kwenye CAMS, tunatumia mfumo wa kihasibu.Ni mfumo wa kihasibu unaowezesha SACCOs kufanya maingizo ya kidigitali, kusimamia mizania, kusasisha urari, nyaraka za leja, and taarifa ya mapato na matumizi na usahihishaji wa miamala. Kwa kutumia mfumo wetu wa kihasibu mtu anaweza kuingiza leja za ziada ambazo huenda hazipo kwenye ripoti husika.

Yafuatayo mfumo wetu wa kihasibu CAMS hutoa::

 • Chati za mahesabu: tunaweza kutengeneza vikundi au akaunti za leja. 
 • Aina za maingizo zinazo badilika: Aina ya maingizo inaweza kuwa nyingi zikiwemo risiti,  akiba, hisa, malipo, contrajarida, nk.
 • Ripoti: Inaweza kuwa pamoja na mizania, taarifa za mapato na matumizi, Urari, pamoja na ufafanuzi wa leja, ripoti ya  usahihisho wa mahesabu nk. 
 • Pakua Ripoti: Unaweza kuchakata ripoti kwenye mfumo wa CSV pamoja na  XLS 
 • Uhalali wa mtumiaji  na majukumu: usalama wa taarifa unaweza kuhakikishwa na uhalali wa mtumiaji na gawio la majukumu kwa watumiaji wa mfumo 
 • Msaada kwenye miamala ya database ya MySQL ili kuwa na uwiano wa taarifa  
 • Msaada kwenye akaunti mbalimbali

Kwakutumia CAMS, SACCOs zitaweza kufanya miamala yote kidigitali, kwa uwazi, urahisi na usalama zaidi. Inasaidia pia kupunguza gharama za kujiendesha za SACCOs kwa kiasi kikubwa.


We, at Wakandi, understand how important accounting is for your SACCO in recording incomes and expenditures as well as ensuring compliance. That is why we are enabling SACCOs to go digital to make accounting easy and quick using CAMS. At CAMS, we use accounting software to enable SACCOs to make digital entries, maintain balance sheets, update trial balance, ledger sheets, and profit and loss and reconciliation. They can also add extra ledgers that may not otherwise be available in specific reports. 

Here’s what all CAMS Accounting offers:

 • Chart of Accounts: we may create groups or Ledger accounts. 
 • Dynamic Entry Types: The entry types could be many including receipt, payment, contra, journal, etc.
 • Reports: One can include Balance Sheet, Profit and Loss Statement, Trial Balance and Ledger Statement, Reconciliation Report, etc
 • Download Reports: we can generate reports in CSV as well as XLS format
 • User authentication and roles: the safety of information can be ensured with user authentication and assigning roles to individuals.
 • Full support for MySQL database transactions to maintain data integrity
 • Support for multiple accounts

With CAMS, SACCOs can make all the transactions paperless, more transparent, simpler, and safe. It can also reduce the overall costs of SACCOs by a large extent.