Skip to content
Blog

Taarifa Zetu Mpya

Tunakupa ufanisi wa kipekee katika ulimwengu wa digitali. Tukiwa wa zaidi ya miaka kumi ya ujuzi wa kutengeneza tovuti na programu zenye ubora, tunakusaidia kukua na kufanikiwa! 

Wakandi CAMS – Kipengele cha keshia

CAMS, ni kampuni ya kiteknolojia ya fedha inayosaidia kusuluhisha haja za SACCOs kwa teknolojia ya kidigitali. SACCOs na wanachama wake wanaweza kutuma na kupokea fedha pamoja na kutoa na kuweka...

Uzinduzi wa Uhasibu kwenye CAMS

Tunahamasa kubwa kukushirikisha habari njema. Tunafanyia kazi kipande cha Uhasibu kwenye CAMS – kipengele cha upande wa watendaji ili kuwezesha kutengeneza ripoti za kihasibu na kifedha. Itakua ni...