Je, unamfahamu vyema mwanachama au mteja wako wa SACCO au Microfinance?
Jaribu Wakandi CAMS kurahisha mchakato wa KYC.
Tunakupa ufanisi wa kipekee katika ulimwengu wa digitali. Tukiwa wa zaidi ya miaka kumi ya ujuzi wa kutengeneza tovuti na programu zenye ubora, tunakusaidia kukua na kufanikiwa!
Jaribu Wakandi CAMS kurahisha mchakato wa KYC.
Linapokuja suala la mchakato wa mikopo katika SACCOs, Wakandi CAMS ni mfumo unaorahisisha mchakato kwa pande zote mbili yaani mwanachama wa SACCOs kuomba mkopo na maafisa wa SACCOs kuchakata maombi...
Baada ya kukosa msaada kwa miaka 10, Wakandi yawapa tumaini jipya “Mfumo wa Wakandi (CAMS) umeleta matokeo mazuri, umegusa mpaka wanachama wote.” Kihistoria, SACCOs zimekuwa zikitumiwa na wanajamii...
Hapa Wakandi, tunaelewa jinsi gani shughuli za kihasibu ni muhimu kwa SACCOs kwenye kunakili mapato na matumizi vilevile kuhakikisha ufwaatishaji wa kisheria. Hii ndiyo sababu tunawezesha SACCOs...
SACCOs imekua ni ishara ya uaminifu na kujiamini ikija kwenye shughuli za kifedha kwa mamilioni ya watu nchini Afrika. Kama watoa huduma wa mifumo, tunajaribu kutoa thamani ya juu na matumani kwa...
Moja kati ya malengo yetu makubwa kwenye CAMS ni kuhakikisha kunakua na uwazi kwenye masuala ya malipo. Ili kufanikisha hili, tunaendelea kuboresha mfumo wetu wa kihasibu kwenye upande wa watendaji...
Tunahamasa kubwa kukushirikisha habari njema. Tunafanyia kazi kipande cha Uhasibu kwenye CAMS – kipengele cha upande wa watendaji ili kuwezesha kutengeneza ripoti za kihasibu na kifedha. Itakua ni...
Wakandi ilialikwa na SCCULT (The Savings and Credit Cooperative Union League of Tanzania ) kuwa sehemu ya mafunzo maalum Tanzania bara. Mafunzo haya yalifanyika kwa kushirikiana na Ushirika...
Tumetumia muda wa kutosha pamoja na SACCOs wakijaribu mifumo yetu na kuhakikisha kwamba vipengele kwenye CAMS viko 100% na vinawiana na kile kinachohitajika. Maoni mawili makuu ambayo yamekua...