Skip to content
feature-image

Jaribu Wakandi CAMS kurahisha mchakato wa KYC. 

Vikundi vidogo vya akiba kama SACCOs na taasisi kama microfinance hubeba jukumu muhimu la kusaidia jamii kupata mikopo na kufikia malengo yao ya kifedha. Hata hivyo, ni muhimu kwa taasisi na vikundi hivi kuhakikisha kuwa wateja wao ni halali ili kuwalinda dhidi ya ulaghai, ufisadi, utakatishaji fedha na hatari nyinginezo. 

Hapa ndipo mchakato wa "Mjue Mteja/Mwanachama Wako" (KYC) unapokuja. KYC inahusisha hatua kadhaa za kumtambua mteja na kumuelewa kama uhalali na anastahili huduma. Mfumo wa Wakandi CAMS unasaidia SACCOs na Microfinance kudhibiti mahitaji yao ya kumtambua mteja/mwanachama ipasavyo 

Uzingatiaji wa kanuni za Wasimamizi 

Kwa kutumia CAMS, SACCOs na microfinance sasa zina uhakika wa kuzingatia na kufuata kanuni na viwango vya kisasa, kwa kurahisisha njia ya wanachama/ wateja na maafisa husika kuweka taarifa muhimu ndani ya mfumo ambavyo husaidia kujenga uaminifu kwa wateja wawekezaji, serikali na wasimamizi. Hii ni muhimu hasa kwa dunia ya sasa inayozingatia usalama katika masauala ya kifedha. 

Kuambatanisha Hati  

Katika pande zote mbili yaani, wanachama/wateja na maafisa husika wa SACCOs/Microfinance, wanaweza kutumia mfumo wa CAMS kuweka, kuona au kuchakata taarifa, hati muhimu kama vitambulisho, cheti cha kuzaliwa, taarifa za akaunti ya benki na mahitaji mengine kulingana na SACCOs au Microfinance itakayoomba. Hii husaidia kurahisisha mchakato wa maombi ya mkopo 

Taarifaa za Mdhamini 

Kuongeza uhakika zaidi kwenye mchakato wa KYC, CAMS huruhusu SACCOs na taasisi ndogo za fedha sio tu kwa ufanisi, lakini pia kusimamia kwa usalama mchakato wa maombi ya mkopo, ikiwa ni pamoja na kuongezwa kwa maelezo ya mdhamini na maelezo ya dhamana. Kwa CAMS, waombaji wa mkopo wanaweza kutoa taarifa muhimu kuhusu wadhamini wao na kurahisisha mchakato wa mkopo. 

Taarifa za Mrithi/Warithi 

Zaidi ya hayo, katika CAMS unaweza kuongeza na kuona taarifa za mrithi/ ndugu wa karibu wa wateja. Katika hali za dharura, kuwa na taarifa sahihi na za kuhusu ndugu wa karibu wa mteja/mwanachama ni muhimu. Maelezo haya yanaweza kutumika kuwasiliana na familia ya mteja katika matatizo. 

Uhusiano baina ya mwanachama na maafisa  

CAMS humwezesha msimamizi kubainisha ikiwa mwombaji mkopo ana uhusiano wowote wa kibinafsi au wa kitaaluma na maafisa au kiongozi yeyote wa timu ya usimamizi. Hii inapunguza hatari ya ukopeshaji kwa upendeleo. Kupitia CAMS, SACCOs na taasisi ndogo za fedha zinaweza kudumisha viwango vya juu vya uadilifu na uwazi, kujenga imani kwa wanachama na wateja wao na kuonyesha kujitolea kwao kwa maadili na uwajibikaji wa utoaji wa mikopo. 

Kwa kumalizia, mchakato wa KYC (Kumfahamu mwanachama/Mteja wako) ni muhimu kwa SACCOs au microfinance ili kuhakikisha usalama wa wateja/wanachama wao na shughuli zao za kifedha. CAMS ni mfumo muhimu kwa SACCOs na taasisi ndogo za fedha zinazotaka kufuata kanuni za serikali na viwango vya sekta na usalama.


How well do you know your member/customer as a SACCO or microfinance organization? 

Try Wakandi CAMS as a KYC solution  

Small financial groups, such as SACCOs and microfinance organizations play an important role in helping people access credit and achieve their financial goals. However, it's critical for these institutions to ensure that their customers are legitimate to protect against fraud, corruption, money laundering, and other risks. 

This is where "Know Your Customer" (KYC) comes in. KYC involves several steps to establish a customer's identity and understand their legitimacy. Wakandi CAMS offers a solution for SACCOs and microfinance institutions to manage their KYC requirements effectively.  

Comply with regulatory requirements 

As a SACCO or microfinance institution, you can be confident in adhering to the most recent regulations and standards by making it easier for members or customers to enter important information into the system, which can help to build trust with customers, investors, the government, and regulators. This is especially important given the increasing focus on financial stability and security.   

Uploading Member’s Documents 

Both members and administrators can utilize CAMS as a platform for uploading and accessing important documents in need, including national identification, birth certificate, bank statements, and limitless requirements, depending on a SACCO or a Microfinance institution. This not only simplifies the document management process but also speeds up the loan application process, making it more efficient and seamless for loan applicants. 
 
Adding Guarantor details  

Further enhancing the KYC process, CAMS allows SACCOs and microfinance institutions to not only effectively manage but also securely manage the loan application process, With the use of CAMS, the loan process becomes quicker as loan applicants can easily add their guarantor's details and collateral information, allowing for a smoother loan application process. 

Adding Next of Kin details 

Furthermore, in CAMS, you can add and manage the details of customers' next of kin. In emergency situations, having accurate and up-to-date information about a customer's next of kin can be crucial. In such cases, this information can be used to contact the customer's family. 

Specifying Insider’s relationship 

CAMS enables the administrator to specify if the loan applicant has any personal or professional relationships with any officers or members of the management team. This reduces the risk of insider lending as well as any conflict of interests. With CAMS, SACCOs and microfinance institutions can maintain high standards of integrity and transparency, building trust with their members and customers and demonstrating their commitment to ethical and responsible lending practices. 

In conclusion, implementing a comprehensive KYC process is essential for SACCOs and microfinance organizations to ensure the safety and security of their customers and their financial operations. CAMS is an essential tool for SACCOs and microfinance institutions looking to comply with government regulations and industry standards and maintain security.