Kuboresha malipo kwa SACCOs nchini Tanzania
Moja kati ya malengo yetu makubwa kwenye CAMS ni kuhakikisha kunakua na uwazi kwenye masuala ya malipo. Ili kufanikisha hili, tunaendelea kuboresha mfumo wetu wa kihasibu kwenye upande wa watendaji...
Tunakupa ufanisi wa kipekee katika ulimwengu wa digitali. Tukiwa wa zaidi ya miaka kumi ya ujuzi wa kutengeneza tovuti na programu zenye ubora, tunakusaidia kukua na kufanikiwa!
Moja kati ya malengo yetu makubwa kwenye CAMS ni kuhakikisha kunakua na uwazi kwenye masuala ya malipo. Ili kufanikisha hili, tunaendelea kuboresha mfumo wetu wa kihasibu kwenye upande wa watendaji...
Tunahamasa kubwa kukushirikisha habari njema. Tunafanyia kazi kipande cha Uhasibu kwenye CAMS – kipengele cha upande wa watendaji ili kuwezesha kutengeneza ripoti za kihasibu na kifedha. Itakua ni...
Wakandi ilialikwa na SCCULT (The Savings and Credit Cooperative Union League of Tanzania ) kuwa sehemu ya mafunzo maalum Tanzania bara. Mafunzo haya yalifanyika kwa kushirikiana na Ushirika...
Tumetumia muda wa kutosha pamoja na SACCOs wakijaribu mifumo yetu na kuhakikisha kwamba vipengele kwenye CAMS viko 100% na vinawiana na kile kinachohitajika. Maoni mawili makuu ambayo yamekua...
Wakandi Group is excited to welcome Lillian as a back-office administrator in the company. Lillian is an experienced administrative assistant/personal assistant with over a decade of experience in...