Skip to content

Uhasibu kidigitali kwenye SACCOs

Sisi hapa Wakandi, tunaelewa jinsi gani uhasibu ni muhimu kwenye Saccos yako kwenye kuhifadhi taarifa za mapato na matumizi pamoja na kuhakikisha unawiana na sheria.
Ndiyo maana tunaziwezesha SACCOs kuwa kidigitali ili kufanya shughuli za kihasibu kuwa rahisi na haraka kwa kutumia CAMS. Rahma Amani, Key Account Manager Wakandi Tanzania anatembelea saccos moja ambayo ni washirika wetu kibiashara mkoani Mwanza kuwasaidia kuhamisha taarifa zao za kihasibu kwenda kwenye CAMS.

Kwa sasa, tunachambua taarifa za kihasibu kwenye moja ya wateja wetu wa SACCOs ili akaunti zilizohamishiwa kwenye CAMS ziwiane. Inahakikisha uhamishaji wa taarifa zote zinazohusiana na manunuzi ya vitu, akiba, amana, mikopo, hisa, pamoja na akaunti nyingine za leja kuwa rahisi. Itatusaidia pia kutatua makosa au taarifa za ziada kusiana na akaunti husika. Makosa kwenye akaunti yatasimamiwa kupitia akaunti za suspense wakati wa kuhamisha taarifa za kihasibu kwenda kwenye CAMS.

Lengo letu ni kutoa mchakato mrahisi wa kuhamisha taarifa za kifedha na usimamizi bora kidigitali. Pia atahusika kuwafunza uongozi wa SACCOs kuelewa na kutumia mfumo wa kihasibu kwenye CAMS. 

Punde hatua hii itakapokamilika, SACCOs itaweza kusimamia kiurahisi kazi zake za kihasibu mtandaoni kwenye upande wa watendaji. Vilevile, wataweza kupata ripoti kwa usahihi na makosa machache na hivyo kuwajibika kisheria zaidi.


We, at Wakandi, understand how important accounting is for your SACCO in recording incomes and expenditures as well as ensuring compliance. That is why we are enabling SACCOs to go digital to make accounting easy and quick using CAMS. Rahma Amani, Key Account Manager in Wakandi Tanzania is visiting our partner SACCO in Mwanza to help them migrate their accounting information into CAMS.

Currently, we are analyzing account information for one of our onboarded SACCO so the accounts migrated into CAMS are balanced. It ensures a smooth transition of data related to all purchased line items, savings, deposits, loans, shares, assets, and other ledger accounts. It will also help us identify errors or trends related to a particular account. Errors in accounts will be managed through the suspense account during the account migration.

Our aim is to provide a smooth data migration process and effective digitization. She will also be responsible to train the SACCO management in understanding and using CAMS Accounting.

Once the process is done, SACCO can easily manage their accounting work online on the CAMS admin portal. Moreover, they will be able to ensure high accuracy with fewer errors and be more compliant. 

Know how your SACCO can be benefitted with CAMS with a live demo.

Book a Demo