Skip to content

What we shipped in 2022 for Wakandi

Wakandi’s culture is to always bring innovative solutions to transform the way SACCOs and microfinance organizations operate. As we are excited to enter 2023, the year that we promise to bring amazing changes to SACCOs and microfinance institutions; let’s have a recap of what an amazing year 2022 was where we have strengthened our Wakandi with new exciting features. 

Policy feature: In 2022, Wakandi was enhanced with several new features designed to improve the operations of SACCOs (Savings and Credit Cooperatives) and microfinance institutions. One of the key additions was the policy feature, which allows SACCOs to create and manage policies based on their specific needs and boundaries. This feature also enables SACCOs to grant or restrict access to different managers, such as the chairman, manager, and accountant, based on their duties.

MSP reports: Wakandi also introduced MSP reports, which are important documents required by regulatory authorities. This feature allows SACCOs to easily download and submit these reports, as well as keep records for their own benefit.

Accounting: Another significant addition to Wakandi was the accounting report feature, which enables the automatic generation of reports for SACCO executives to accurately record daily transactions and understand their income, loans, spending, and overall financial position.

Cashier feature: In addition to these back-office improvements, Wakandi also introduced a cashier feature that records every activity at the cashier window, where SACCOs may receive or disburse cash for various payments to members or expenses within the organization.

Integration of mobile payment services: Another convenient feature added in 2022 was the integration of mobile payment services such as M-Pesa, Tigo, and Airtel, which allows SACCOs and their members to make payments and transactions through these platforms.

Configurable underwriting process: Finally, Wakandi also introduced a configurable underwriting process that allows SACCOs to define the conditions for loan approval, such as income, assets, debt, and other details. This feature streamlines the loan approval process, making it faster and more efficient for both the SACCO and its members. As we look ahead to 2023, Wakandi is excited to continue innovating and bringing transformative solutions to SACCOs and microfinance institutions.

Wakandi is looking forward to continuing to innovate in 2023. Get a free demo to learn how you can use Wakandi.  

Book a Demo

Mapitio ya mambo yaliyoletwa na Wakandi mwaka 2022

Utamaduni wa Wakandi ni daima kuleta suluhisho ya kibunifu ili kuleta mabadiliko chanya katika SACCOs na taasisi ndogo za kifedha. Tunapoingia 2023, mwaka ambao tunaahidi kuleta mabadiliko mazuri zaidi kwa SACCOs na taasisi ndogo za fedha, tungazie nini Wakandi imeongeza kwa mwaka 2022.

Kipengele cha Sera: Mwaka 2022, program ya Wakandi ya CAMS uliboreshwa kwa vipengele vipya kadhaa vilivyoundwa ili kuboresha shughuli za SACCOs (Ushirika wa Akiba na Mikopo) na taasisi ndogo za fedha. Moja ya nyongeza muhimu ilikuwa kipengele cha sera, ambacho huruhusu SACCOs kuunda na kusimamia sera kulingana na mahitaji na mipaka yao mahususi. Kipengele hiki pia huwezesha SACCOs kutoa au kuzuia ufikiaji kwa wasimamizi tofauti, kama vile mwenyekiti, meneja, na mhasibu, kulingana na majukumu yao.

Kipengele cha uhasibu: Kingine muhimu kwa CAMS ilikuwa ni kipengele cha ripoti ya uhasibu ambaco huwezesha na kurahisisha utoaji wa ripoti kitomatiki kwa watendaji wa SACCO kurekodi kwa usahihi miamala ya kila siku na kuelewa mapato yao, mikopo yao, matumizi na hali ya kifedha kwa ujumla.

Ripoti za MSP: CAMS pia ilianzisha ripoti za MSP, ambazo ni hati muhimu zinazohitajika na mamlaka za usimamizi. Kipengele hiki huwezesha SACCOs kupakua na kuwasilisha ripoti hizi kwa urahisi, na pia kuweka rekodi kwa manufaa yao.

Ripoti za kihasibu: CAMS imeunda kipengele hiki kusaidia uundaji wa ripoti za kihasibu kiautomatiki kwaajili ya watendaji wa SACCOs kurekodi miamala ya kila siku ili kuhakikisha ripoti zinatoka kwa usahihi. Kwa kutumia ripoti hizi, uongozi wa SACCOs unaweza kupata mwanga kwenye mapato yao,mikopo yao, matumizi yao pamoja na nafasi ya kifedha ya chama kiujumla.  

Kipengele cha Keshia: Katika maboresho ya mwaka huo, CAMS pia ilianzisha kipengele cha mtunza fedha ambacho kinarekodi kila shughuli kwenye dirisha la mtunza fedha, ambapo SACCOs zinaweza kupokea au kutoa fedha taslimu kwa ajili ya malipo mbalimbali kwa wanachama au matumizi ndani ya shirika. 

Ujumuishaji wa huduma za malipo ya simu: Kipengele kingine cha muhimu kilichoongezwa mwaka wa 2022 ni kuunganishwa kwa huduma za malipo kwa njia ya simu kama vile M-Pesa, Tigo na Airtel, ambayo inaruhusu SACCOs na wanachama wao kufanya malipo na miamala kupitia huduma hizo.

Mchakato wa Under Writing:Hatimaye, CAMS pia ilianzisha mchakato unaoweza kusanidiwa kuruhusu SACCOs kufafanua masharti ya kuidhinishwa kwa mkopo, kama vile mapato, mali, deni na maelezo mengine. Kipengele hiki hurahisisha mchakato wa kuidhinisha mkopo, na kuufanya kuwa wa haraka na ufanisi zaidi kwa SACCO na wanachama wake. Tunapoianza 2023, Wakandi ina furaha kuendelea kuvumbua na kuleta mabadiliko kwa SACCOs na taasisi ndogo za fedha.

Wakandi inautazama mwaka 2023 kama mwaka wa uvumbuzi zaidi.